Nunua kwa ujasiri - Pesa yako iko salama hadi upokee mzigo
Ukilipia, pesa haiendi kwa muuzaji moja kwa moja. Inakaa kwa Malltech hadi uthibitishe kupokea bidhaa. Muuzaji akileta feki, pesa inarudi kwako 100%.
Bidhaa si kama ulivyoona? Imearibika? Una siku 7 za kurudisha bila maswali. Tunakupa pesa yako yote au tunakuletea nyingine.
Kila muuzaji amethibitishwa na NIDA, simu, na mahali alipo. Unaona badge ya ✓ Verified Seller na unaweza kuona ramani yake.
Kama hutapata bidhaa yako au bidhaa ni feki, tunakurudishia pesa yako yote ndani ya masaa 24. Hakuna hasara kwako.
Je, nikilipia halafu muuzaji asilete?
Pesa inarudi kwako moja kwa moja baada ya siku 3 kama muuzaji hajasafirisha.
Nikipokea bidhaa mbovu?
Piga picha, fungua dispute ndani ya siku 7, tunakupa pesa au tunabadilisha bidhaa.
Muuzaji anaonaje uaminifu?
Wauzaji wenye reviews nzuri na delivery ya haraka wanapata badge ya Trusted Seller na wanaonekana mwanzo.