Huruma yako ni muhimu. Rudisha bidhaa ndani ya siku 7 kama hujaridhika - rahisi na haraka
Kama bidhaa haijafunguliwa, haina matumizi, na lebo ipo
M-Pesa/Tigo Pesa ndani ya masaa 24, Bank 1-3 siku
Tunatuma bodaboda kuchukua - hulipi gharama Dar
Ingia track-order.php weka # number yako, bonyeza Request Return au tuma WhatsApp
Tuma picha 2-3 za bidhaa na video fupi kama imeharibika. Chagua sababu: wrong size, damaged, fake, not as described
Team yetu inakujibu WhatsApp, inakupa Return Code kama #RT-MT00123 na bodaboda anakujia
Tukipokea bidhaa na kuikagua, refund inatumwa M-Pesa / Tigo Pesa papo hapo. Dar refund same day.
Utapata Return Code #RT-MT...