Tunasafirisha haraka ndani ya Dar na Tanzania nzima. Track order yako kwa #MT000123
TZS 3,000 - 5,000
Masaa 2 - 24
TZS 8,000 - 15,000
Siku 1 - 3
TZS 10,000 - 20,000
Masaa 2 - 6 Dar
Ukisha-order, unapata SMS na tracking number inayoanza na # kama #MT-20260722-8D7AB8
Tunapack order yako kwa umakini, tunapiga picha na kuku-update WhatsApp
Bodaboda / Bus inachukua, utaona Live Tracking na jina la dereva + simu yake
Dereva anakupigia, unapokea, unalipa kama ni Cash on Delivery, una-rate
| Mkoa | Muda | Gharama | Courier |
|---|---|---|---|
| Dar es Salaam | 2-24 hrs | 3k - 5k | Bodaboda |
| Pwani / Morogoro | 1 day | 8k | Bus + Boda |
| Arusha / Moshi | 1-2 days | 12k | Bus Express |
| Mwanza / Shinyanga | 2-3 days | 15k | Bus + Boda |
| Mbeya / Iringa | 2 days | 15k | Bus |
| Dodoma | 1 day | 10k | Bus |
| Zanzibar | 1-2 days | 15k | Boat + Boda |
* Free delivery kwa order > TZS 100,000 Dar na > TZS 200,000 mikoani
Ingiza # number yako
Mfano: #MT-20260722-8D7AB8
Na-track vipi bila account?
Tumia #MT number uliyotumiwa SMS, hauhitaji login.
Nikikosa delivery?
Dereva atajaribu mara 2, baadae itarudi warehouse na tutakupigia.
Naweza kubadilisha address?
Ndiyo kabla haija-ship. Wasiliana WhatsApp haraka.